1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupigwa kwa kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai nchini Zimbabwe

15 Machi 2007

Kama ulivyosikia katika taarifa ya habari kwamba vidole vya lawama vinazidi kunyooshewa serikali ya Mugabe dhidi ya kumpiga kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai.

https://p.dw.com/p/CHI7
Wapinzani wakiwa nje ya Mahakama baada ya kupigwa nchini Zimbabwe
Wapinzani wakiwa nje ya Mahakama baada ya kupigwa nchini ZimbabwePicha: AP
Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania Profesa Baregu Mwesiga juu ya hali ya mambo nchini Zimbabwe na kwanza alimuuliza je kitendo kilichofanywa na serikali ya Mugabe dhidi ya Bwana Tsvangirai kinatoa sura gani mbele ya jumuiya ya kimataifa.