Licha ya kutajwa kuwa muhimu miongoni mwa jamii nyingi za Afrika, ndoa au hata mahusiano ya kimapenzi huonekana kuyumba au kutodumu kwa muda mrefu hasa miongoni mwa vijana. Je, kipi kinachochangia mahusiano kutodumu nyakati hizi za sasa tofauti na nyakati za wazee wetu? Tazama vidio hii ya Fathiya Omar kutoka kaunti ya Mombasa.