1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Mabango ya sinema yaliyochorwa kwa mikono

17 Februari 2022

Berlin ina historia ndefu ya filamu, iliyoanzia zamani. Hata wakati huo, filamu zilitangazwa na mabango ya sinema - yaliyochorwa kwa mikono. Leo, mabango ya sinema bado yapo, lakini yale yalichorwa kwa mikono huwa na mvuto kipekee kipekee.

https://p.dw.com/p/47Aez