AfyaAfrikaMadaktari wa Sudan waanzisha kliniki Chad kuwatibu wahamiajiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAfrika28.08.202328 Agosti 2023Madaktari wa Sudan ambao pia ni wahamiaji walioko kambini Chad baada ya kukimbia mapigano makali Darfur wajitolea kuyaokoa maisha ya wagonjwa kambini. Huo ndio ubinadamu. Tizama kwenye KurunziAfya.https://p.dw.com/p/4VfTuMatangazo