Mafuriko nchini Tanzania baada ya mvua kubwa kunyesha 22.12.201122 Desemba 2011Jiji la Dar es salaam nchini Tanzania limekumbwa na mafuriko na uharibifu mkubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.https://p.dw.com/p/13XXZWananchi wanaokabiliwa na shida ya mafurikoPicha: APMatangazo Mafuriko hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 11 huku malefu kadhaa wakikosa makaazi. Kutoka Dar es salaam Aboubakary Liongo anasimulia hali ilivyo Mwandishi Abubakar Liongo Mhariri Mohammed Abdulrahman