Takriban familia 180 zinazoishi kwenye fuo za Ziwa Victoria jimbo la Siaya eneo la Nyanza huko Kenya zimeachwa bila makao baada ya mvua nyingi inayonyesha maeneo mbali mbali nchini humo kusababisha mafuriko. Fuatilia Zaidi katika video ya Musa Naviye. #kurunzi