SiasaMagufuli : Uchaguzi wa 2020 utakuwa wa huru na haki To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGeorge Njogopa (HON)22.01.202022 Januari 2020Rais John Magufuli wa Tanzania amewahakikishia wanadiplomasia walioko Tanzania kuwa Tanzania itakuwa na uchaguzi wa amani, huru na haki utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka 2020. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Dar es Salaam, George Njogopa.https://p.dw.com/p/3WdLwMatangazo