SiasaAsia
Mahakama ya Pakistan imetaka Khan afikishwe mahakamani
23 Novemba 2023Matangazo
Hayo yameelezwa na wakili wake, katika kile ambacho kitakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwanasiasa huyo kuonekana hadharani tangu alipotiwa jela mnamo mwezi Agosti mwaka huu. Mahakama kuu ya mjini Islamabad mwanzoni mwa wiki hii ilitangaza kwamba kuendeshwa gerezani kwa kesi kuhusu mashtaka ya kuvujisha siri za nchi dhidi yaKhan ni kinyume cha sheria.