JamiiMahakama yafuta wakurugenzi kusimamia uchaguzi TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono24.05.201924 Mei 2019Mahakama Kuu Tanzania imebatilisha sheria ya uchaguzi inayowapa uhalali wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi. Hatua hiyo ni baada ya kufunguliwa kesi na watetezi wa demokrasia wakishirikiana na vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja na CHADEMA. https://p.dw.com/p/3ISa9Matangazo