Licha ya kulazimika kuyakimbia makaazi yao kutokana na mashambulizi ya kundi la waasi la M23, wakaazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hawakuvunjika moyo na maisha, badala yake wamegeukia kilimo karibu na makambi yao ili kuyafanya maisha yasonge mbele.