1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

17 Januari 2025

Tanzania yakanusha kuwepo kwa kirusi cha Marburg katika mkoa wake wa Kagera,baada ya WHO kusema takriban watu wanane wamekufa kwa ugonjwa unaoshukiwa kusababishwa na kirusi hicho Kagera. Daniel Chapo aapishwa kuingia madarakani Msumbiji na kuibuwa upya maandamano. Rais Paul Kagame wa Rwanda ailaumu jamii ya Kimataifa kwa kuisakama nchi yake na tuhuma za kuwasaidia M23. Jiunge na Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4pIZS