Maonesho ya mitindo na urembo ya Kibera huandaliwa kila mwaka katika mtaa wa mabanda poromoka wa Kibera nchini Kenya, ni maonesho yaliyoanzishwa kwa lengo maalum la kukuza vipaji vya ubunifu,urembo na mitindo miongoni mwa vijana wa eneo hilo na kenya kwa ujumla wake. Zaidi ni katika Makala ya Utamduni na sanaa iliyoandaliwa na Saumu Mwasimba.