1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makubaliano: Israel, UAE na Bahrain, Je ni mwanzo mpya?

Grace Kabogo16 Septemba 2020

Baada ya Bahrain, Umoja wa Falme za Kiarabu na Israel kusaini makubaliano ya kihistoria ya uhusiano wa kibalozi, Je hii ndiyo hali halisi inayojionyesha kuelekea kupatikana kwa mabadiliko ya kimahusiano kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu? Hili ni miongoni mwa maswali ambayo Grace Kabogo alimuuliza Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa aliyeko London, Uingereza. Sikiliza kwa urefu hapa.

https://p.dw.com/p/3iXwg