Katika jimbo la Tanganyika huko jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, yamejitokeza makundi kadhaa na kusababisha hali ya kuzuka matukio ya uvamizi, miongoni mwa raia.
Uvamizi wa kila mara wa wasafiri katika njia ya taifa namba Tano inayotoka Kalemie kwenda Kivu kusini ni jambo linalowapa raia wasiwasi wa kusafiri.