1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Manara: Yanga ina asilimia 70 ya ushindi dhidi ya Marumo

15 Mei 2023

Timu ya Yanga inahitaji ushindi au sare katika mechi ya marudiano kati yake na Marumo Gallants itakayopigwa Afrika Kusini Mei 17. Msemaji wa Yanga aliyesimamishwa Haji Manara anasema Yanga ina nafasi ya asilimia 70 ya ushindi katika mchuano huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la soka Afrika (CAF)

https://p.dw.com/p/4RMf6
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild I Kinderarbeit in Honduras
Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance

Michezo