Uzinduzi wa Umoja wa Afrika mnamo Julai 9, 2002 ulipokelewa kwa matumaini makubwa. Umoja huo kufikia sasa umeafikia mengi ya kufungua uwezo wa Afrika na kupata ufanisi lakini kuna mengi ambayo bado yanahitajika kufanywa. Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kinaangazia safari hiyo kikiongozwa na Saumu Mwasimba