Kwa mara nyingine Sudan imeingia kwenye vichwa vya habari duniani.Lakini kipi hasa kilichochechea mapinduzi haya? Na lipi hasa lengo la jenerali Burhani katika hatua yake hii? lakini pia wapi inakoelekea Sudan?Jiunge na Saumu Mwasimba akijadili na wataalamu wa siasa ya Sudan katika maoni mbele ya meza ya duara.