Hebu sikiliza tathmini ya mchambuzi wa kisiasa kutoka Tanzania Gwandumi Mwakatobe kuhusu baadhi ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yamekuwa yakishuhudiwa barani Afrika. Ameanza kwa kulijibu swali la mwanahabari John Juma, je wanajeshi wameingiwa uchu wa madaraka Afrika?