1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNiger

Mashirika ya UN yazuiwa katika baadhi ya maeneo Niger

1 Septemba 2023

Viongozi wa mapinduzi nchini Niger wameyazuia mashirika ya Umoja wa Mataifa, mashirika yasiokuwa ya serikali na yale ya kigeni kufanya kazi katika maeneo ya operesheni za kijeshi

https://p.dw.com/p/4VpCK
Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Niger, Jenerali Abdourahmane Tian (Kulia) akiwasili mjini Niamey kwa mkutano na mawaziri mnamo Julai 28, 2023
Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Niger, Jenerali Abdourahmane Tian (Kulia)Picha: Balima Boureima/Reuters

Bila ya kutaja maeneo yalioathirika, taarifa ya wizara hiyo iliyotangazwa kupitia redio ya taifa, imesema kuwa kutokana na hali ya sasa ya kiusalama nchini humo, pamoja na kujitolea kwa jeshi la nchi hiyo katika operesheni zake, shughuli zote za mashirika hayo zimesimamishwa kwa muda.