Kiongozi wa zamani wa Katalonia Carles Puigdemont atoa wito wa majadiliano na serikali ya Uhispania.Wapalestina waomboleza vifo vya watu 9 waliouawa katika maandamano ya Ukanda wa Gaza, akiwamo mwandishi habari.Na ubalozi wa Urusi nchini Uingereza waomba kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Borris Johnson .