Miongoni mwa tuliyokuandalia: Ikiwa imesalia siku chache kuanza kwa mwezi mktukufu wa Ramadhani, mitaa ya Mji Mkongwe wa Jerusalem imeonekana kuwa tulivu kuliko kawaida. Tofuati ya miaka mingine, hakuna shamrashamra za kuikaribisha Ramadhani katika mitaa hiyo myembamba.