Miongoni mwa ripoti za uchambuzi ni hii ya wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika wanakutana leo(Jumamosi) mjini Addis Ababa katika mkutano wao wa kilele,na ajenda kuu ya mkutano huo ni kuimarisha hatua za utekelezaji wa makubaliano ya biashara huria katika bara hilo yanayojulikana kama AfCFTA.