Israel yawaachia wafungwa 90 wa Kipalestina huku mateka wa Israel wakiachiwa huru na Hamas//Rais mteule wa Marekani Donald Trump aahidi "Marekani haitoanguka tena" kuelekea kuapishwa kwake//Na shirika lisilo la kiserikali la Oxfam laonya kuhusu matajiri kunufaika pakubwa na urais wa Trump.