Kwenye matangazo yetu leo asubuhi: Kansela Angela Merkel ataka waliokataliwa hifadhi nchini Ujerumani waondolewe haraka. Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kupinga ujenzi wa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi katika maeneo ya Wapalestina. Rais Joseph Kabila wa Kongo kuendelea kuwamo madarakani hadi mwaka ujao baada ya makubaliano na wapinzani