1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

24 Januari 2023

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy aahidi kufanya mabadiliko katika serikali yake kufuatia madai ya ufisadi//Afisa mmoja mwandamizi wa zamani wa shirika la upelelezi la Marekani FBI afikishwa kortini kwa kushirikiana na tajiri wa Urusi//Na Umoja wa Mataifa wasema janga la Covid-19 lilipunguza visa vya ulanguzi wa watu duniani

https://p.dw.com/p/4MbxT