SiasaMatangazo ya Jioni: 18.01.2025To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaZainab Aziz18.01.202518 Januari 2025Stephen Wasira apitishwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara. Israel yasema itawaachilia zaidi wafungwa 1900 wa Kipalestina kutoka kwenye magereza yake. Lebanon yasema vikosi vya Israel lazima viondoke nchini mwake kabla ya Januari 26. https://p.dw.com/p/4pKIVMatangazo