Misaada imeanza kuwasili Ukanda wa Gaza baada ya kuanza usitishaji mapigano. Rais Volodymr Zelensky wa Ukraine awaomba washirika wake msaada zaidi wa mifumo ya ulinzi ya Patriot. Na waasi wa M23 wauteka mji mwingine muhimu wa madini Mashariki mwa DRC.