1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 22.10.2023

22 Oktoba 2023

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu asema kundi la Hizbullah litafanya kosa kubwa kuanzisha vita na taifa lake, Korea Kusini, Marekani na Japan zafanya luteka ya pamoja katika rasi ya Korea na Iran imetoa hukumu ya miaka saba jela kwa waandishi habari wawili wa kike kwa kuyumbisha usalama wa taifa.

https://p.dw.com/p/4Xsaw