Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Rais wa Marekani Joe Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine. Polisi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imewafurumusha kwa mabomu ya machozi na kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakiandamana kupinga kuongezeka kwa wimbi la utekaji nyara.