Kiongozi wa upinzani nchini Urusi anayehofiwa kupewa sumu tayari amewasili katika hospitali ya mjini Berlin, wapatanishi kutoka jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS wamewasili nchini Mali na shirika la kimataifa la kawi ya atomiki IAEA lasema mkurugenzi mkuu wake Rafael Grossi atasafiri kuelekea Iran siku ya Jumatatu