Waandamanaji wa Sudan wawasilisha madai yao kwa baraza la kijeshi la mpito. Umoja wa Mataifa wasema mapigano ya Libya yameua watu 121 na kujeruhi 561. Na, waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Javad Zarif aonya dhidi ya Marekani kulitambua jeshi la Iran kama kundi la kigaidi.