Marekani kufufua mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palestina licha ya ghadhabu kutokana na uamuzi wa Rais Donald Trump kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel//Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, ameiomba Korea Kaskazini kupunguza majaribio ya silaha za kinyuklia kuandaa mazingira muafaka ya mazungumzo//Chama tawala Afrika Kusini ANC kumchagua kiongozi mpya