1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 18.08.19

Yusra Buwayhid
18 Agosti 2019

Watu 63 wafariki katika sherehe ya harusi mjini Kabul, Afghanistan. Moto wateketeza makazi ya watu 10,000 Bangladesh. Na, wananchi wa Sudan washerehekea kusainiwa makubaliano ya kihistoria.

https://p.dw.com/p/3O5Rh