1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 26.11.2023

26 Novemba 2023

Mateka wengine 13 wanaoshikiliwa na kundi la wanamgambo la Hamas wanatarajiwa kuachiwa huru leo, Urusi yasema imezuia shambulio kubwa la ndege zisizo na rubani za Ukraine na Jumuiya ya ECOWAS yalaani jaribio la baadhi ya watu la kuchukuwa silaha na kuvuruga utaratibu wa kikatiba nchini Sierra Leone

https://p.dw.com/p/4ZSCo
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus und Matrix
Picha: Klaus Ohlenschläger/picture alliancePicha: Klaus Ohlenschläger/picture alliance

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)