Uganda imeendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele michuano ya Afcon nchini Misri wakati DRC ikisuasua. Tanzania inakutana na Kenya na Burundi nayo haijapata ushindi. Sikiliza uchambuzi wake Fundi Sayore kuhusu matumaini ya wawakilishi wa Afrika Mashariki.