SiasaMatumizi ya data kuwaendeleza wanawake TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaVERONICA NATALIS/M M T04.04.20174 Aprili 2017Taarifa zinapohifadhiwa huleta manufaa muhimu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa jamii nzima kwa jumla. Jiunge na Veronica Natalis ujifunze mengi kuhusu matumizi ya data katika kuwajengea uwezo na kuwaendeleza wanawake Tanzania.https://p.dw.com/p/2afO5MatangazoMkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania, Tamwa, Edda Sanga, akifungua mafunzo ya Data kwa wanawake katika chuo cha Tehama CoICTPicha: DW/V. NatalisCharles Bundu, fundi wa programu za kompyuta kutoka dLab akifundisha jinsi ya kutengeneza michoro ya dataPicha: DW/V. NatalisVicensia Fuko kutoka Tanznania Media Foundation, TMF, akiwasilisha mawazo ya kikundi katika mafunzo ya data kwa wanawakePicha: DW/V. NatalisMahadia Tunga (wa kwanza kushoto) mhadhiri msaidizi chuo kikuu cha Dar es salaam na mkuu wa mafunzo katika mradi wa dLab akitoa utangulizi wa mafunzoPicha: DW/V. Natalis