Wawakilishi wa kamati ya wajumbe 14 wa chama tawala Kenya Kwanza na upinzani Azimio nchini Kenya wameshindwa kufikia mwafaka kuhusu washiriki wa mazungumzo ya upatanishi, lakini wamekubali kuendelea kukutana, baada ya kikao chao cha kwanza cha ana kwa ana kujadili mzozo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo. Msikilize Thelma Mwadzaya.