Wageni, wakiwemo watanzania wakasirishwa na kauli ya kibaguzi ya mbunge wa Kenya aliyetoa vitisho vya kuwapiga ikiwa wataendelea kubakia Kenya. Katika michezo Kenya na Tanzania zatoana jasho, hatimaye Tanzania yapata kichapo. Sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba.