Mchakato wa Katiba Mpya ya Tanzania wapotea njia au uko sahihi?
14 Agosti 2012Matangazo
Katika makala hii ya Mapamzuko, Mohammed Abdul-Rahman anaangalia ikiwa mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania upo kwenye njia sahihi au umeingia kwahala siko. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.
Makala: Mapamzuko Afrika
Mada: Katiba Mpya Tanzania
Mtayarishaji: Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri: Mohammed Khelef