1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfuasi wa itikadi kali za kidini aliyegeukia kilimo

17 Novemba 2023

Saliou Ndiaye, ni raia wa Senegal aliyetumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kujaribu kujiunga na makundi ya itikadi kali nchini Syria. Baada ya kumaliza adhabu yake gerezani, sasa amebadili fikra zake kuhusu dini na anataka kujenga maisha yake kwenye ardhi ya nyumbani, Senegal, na kuisadia jamii yake. Tizama vidio hiyo kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/4Z3Uz
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio