Wasiwasi umeibuka kuhusiana na nafasi ya mtoto wa kiume na mwanamume katika jamii inayobadilika kwa kasi, huku wengi bado wakiwa wanajitahidi kuishi na hali halisi ya mazingira yanayobadilika. Mipango mbalimbali imeanzishwa katika jamii ili kumkomboa na kumbadilisha mtoto wa kiume mjini Mombasa, pwani ya Kenya. Mengi zaidi ni kwenye kipindi Vijana Tugutuke.