Misaada ya kigeni kwa Afrika: Neema au Laana?
14 Januari 2012Matangazo
Sikiliza kipindi cha Maoni kutoka Deutsche Welle kikiongonzwa na Othman Miraji. Wachangiaji hoja ni Halima Sharif (mwandishi wa habari jijini Dar es Salaam), Salma Maulid (mwanaharakati wa haki za kiraia Zanzibar), Okiya Omtatah Okoiti (mwanaharakati wa haki za kiraia kutoka Kenya) na Richard Shaba kutoka Wakfu wa Kijerumani wa Konrad Adenauer, tawi la Tanzania.
Maoni: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Khelef