JamiiUlayaMji wa Ujerumani ulioachwa wageuzwa makaazi ya wahamiajiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiUlaya10.08.202310 Agosti 2023https://p.dw.com/p/4V059MatangazoKampuni ya uchimbaji madini ilinunua sehemu ya wakaazi ya watu kisha kuwaondoa ili kuchimba mkaa wa mawe. Lakini kwa sasa eneo hilo linatumiwa kwa shughuli tofauti kabisa. Tizama video hii ya Kurunzi Ujerumani ufahamu zaidi