JamiiMji wangu: Serekunda GambiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii27.08.202027 Agosti 2020Serekunda ni kitovu cha utamaduni na uchumi wa Gambia. Mwanamuziki wa kufoka Ali Cham maarufu kama Killa Ace nchini Gambia anatutembeza katika mji huo wake. Je maisha ya vijana yakoje katika mji huo? Hebu tazama tupate kujua mengi.https://p.dw.com/p/3hb2QMatangazo