1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano juu ya ukimwi waendelea mjini Abuja, Nigeria

Josephat Charo5 Desemba 2005

Wataalamu wa kiafrika na kutoka mataifa mbalimbali duniani wanakutana mjini Abuja, Nigeria kujadili njia bora za kupambanana na virsui hatari vya ukimwi barani Afrika na huduma za matibabu kwa wagonjwa milioni 24 wa ukimwi. Wakati huo huo wanaharakati wa ukimwi wasiopungua 100 walifanya maandamano nje ya jengo mnamofanyika mkutano huo.

https://p.dw.com/p/CBJO