Mkutano wa Umoja wa Afrika AU kuhusu mgogoro wa Darfur
15 Agosti 2007Matangazo
Balozi Dr. Salim Ahmed Salim wa Tanzania alialikwa kuwapa taarifa wajumbe wa baraza hilo kufuatia mkutano wa vikundi vinavopingana pamoja na serikali ya Sudan ambao ulifanyika wiki iliopita huko Arusha,Tanzania.
Kutoka makao makuu ya AU mjini Addisabeba, mwandishi wetu Anaclet Rwegayura anaripoti zaidi.