1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MOMBASA: Mkutano wa WTO wakumbwa na upinzani.

4 Machi 2005
https://p.dw.com/p/CFZu

Polisi wa Kenya wamewakamata zaidi ya wapinzani 40 wasiopendelea sera za utaandawazi duniani wakati ambapo mawaziri na maafisa wakuu kutoka mataifa 33 wanakutana huko Ukunda Mombasa kufanikisha mikakati ya kutiwa saini mkataba wa kibiashara duniani kufikia mwaka 2006.