1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa kusitisha mapigano Gaza waafikiwa

Hawa Bihoga
16 Januari 2025

Qatar imetangaza makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yameafikiwa na Israel na Hamas, hata hivyo Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema baraza lake la mawaziri halitakutana kuidhinisha makubaliano hayo hadi Hamas iheshimu masharti yote katika kile ilichokiita "mgogoro wa dakika za mwisho.

https://p.dw.com/p/4pERQ