JamiiMsichana Jasiri Mtengeneza samani za ndaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii10.06.202210 Juni 2022Katika Msichana Jasiri, leo tunamuangazia Gift Manega, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam ambaye ameamua kuwa pia seremala katika kujiingizia kipato kwa ajili ya matumizi binafsi. Hadija Halifa na Mengi zaidi.https://p.dw.com/p/4CUxEMatangazo