Christina Singeli ni waziri wa michezo katika serikali ya wanafunzi wa chuo cha uwalimu wa awali Ndala, kilichopo wilaya ya Nzega mkoani Tabora magharibi mwa Tanzanania. Alichaguliwa kushika nafasi hiyo kutokana na hamasa ya kupenda michezo na uongozi.